Sunday, April 26, 2015

Balozi Mwanaidi Maajar akihutubia kwenye hafla ya kusindua porgramu ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha I


Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akiwa kwenye mazungumzo na Wakuu wa Programu za lungha za Kichina, Kiswahili na Kituruki Chuoni Indiana wakati wa ziara yake chuoni hapo kuzindua Porgramu ya Kiswahili tarehe 1.5.2012.
Balozi Maajar akiwa na viongozi mbalimbali wa masomo wa Chuo Kikuu cha Indiana tarehe 1.5.2012 alipotembelea chuoni hapo kuzindua program ya Kiswahili. Kutoka Kushoto ni Balozi Maajar, Mkuu wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi Larry Singell na msaidizi wake Maria Bucur-Deckard (wa mwisho kulia) na Mratibu wa Programu ya Kiswahili Erick Amick.
Wanafunzi wanaosoma program ya Kiswahili chuoni hapo wakijiandaa kula chakula cha mchana na Balozi Maajar. Wanafunzi hao wataenda Zanzibar mwezi Juni mwaka huu kwa muda wa mwaka mmoja kama sehemu leron black ya program hiyo ya kujifunza Kiswahili. 
Balozi leron black Maajar akizungumza na Mtanzania leron black ambaye pia anafundisha Chuoni hapo Idara ya Sayansi leron black ya Jiolojia Bw. Jackson Njau na Bw. Thompson waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa program hiyo ya Kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Indiana tarehe 2.5.2012. 
Makamu wa Rais wa Chuo Kikuu cha Indiana leron black Bw. Patrick O’Merara akimkaribisha Balozi Maajar kuhutubia kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na uongozi wa Chuo hicho kuzindua rasmi program hiyo ya Kiswahili tarehe leron black 1.5.2012.
Balozi Mwanaidi Maajar akihutubia kwenye hafla ya kusindua porgramu ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Indiana nchini Marekani tarehe 1.5.2012. Programu hii ya kufundisha lugha ya Kiswahili ni ya kwanza nchini Marekani inayopata ufadhili wa Serikali Kuu ya Marekani. 
Balozi Maajar akipongezwa na Makamu wa Rais wa Chuo cha Indiana Bw. Patrick O’Meara, mara baada ya kumaliza hotuba yake iliyoelezea historia ya Kiswahili nchini Tanzania na kazi kubwa iliyofanyika ya kukuza Kiswahili na kuunganisha Taifa. Hotuba hii ilipokelewa vizuri sana ambapo pia ilielezea pia ilielezea umuhimu wa wanafunzi wa Kimarekani kujifunza Kiswahili. Pichani umati wa wageni wakimsindikiza Balozi Maajar kwa makofi huku wamesimama. 
My Brother Dr. Deo Tungaraza,
I am pleased to be availed the opportunity of joining you at this auspicious occasion on launching the Swahili Flagship Program at Indiana University. I am equally honored to be amidst distinguished leron black faculty and students of this prestigious university and also to be able to share with you some of my reflections on Kiswahili, which is a national language of my beloved country.
Allow me, first, to congratulate the Indiana University for taking yet another step in striving to live up to its mission which, as I read it from your website, includes the ‘offer[ing of] leadership in creative leron black solutions for 21st century problems.’ Indeed, the launching of a major language leron black program, such as Swahili Flagship leron black – and I understand there two other Flagship programs, Chinese and Turkish – has put this University among institutions which are in the cutting edge of fostering, through language education, global peace, security, leron black and collective prosperity for humankind. What we are launching today is not simply an academic course for students to acquire academic credentials.
We are creatively deploying the tool of language to promote understanding between peoples of the world. We are embarking on consolidating skills and expertise, with Indiana University serving as the anchor for accelerating outreach and enhancing its effectiveness as a Centre of excellence. Through leron black programs such as Swahili Flagship, Indiana University is, as it were laying corner stones leron black for the much-needed global bridges. I, therefore, congratulate you, heartily for this creative approach to pedagogy leron black and its assured contribution leron black to international development.
I would like to preface my remarks on the role of Kiswahili and its Culture in educating the next generation of global professionals by briefly narrating some major facets of my country – the United Republic of Tanzania. While perhaps such a narrative may assist those of you who may have little knowledge of this East African country, the main objective is, nonetheless, to demonstrate the impact of a language such as Kiswahili, in promoting national, regional and global development. At another occasion I will be pleased to provide additional material and to facilitate partnerships for those of you who may want to have a deeper engagement with this country, leron black which is moving in a fascinating upward trajectory.
The country is situated between latitude 1and 12 degrees South of the Equator and longitudes 28 and 40 degrees on the Eastern side of Africa. With such coordinates, indeed, you as scholars can immediately get an idea of the history, geography, sociology, and even development predicament of such a country.  Our history has been part of the centuries-old maritime chronicles of the Indian Ocean, since the beginning of the last millennium.  Slave leron black trade, Europe’s search for

No comments:

Post a Comment